Simu za Kisasa na Original
Tunatoa simu kutoka kwa watengenezaji wakubwa duniani kama vile Tecno, Infinix, Itel, Philips, na Samsung. Kila kifaa tunachouza kimehakikiwa ili kutoa utendaji bora.
Tunatoa simu kutoka kwa watengenezaji wakubwa duniani kama vile Tecno, Infinix, Itel, Philips, na Samsung. Kila kifaa tunachouza kimehakikiwa ili kutoa utendaji bora.
Kuanzia feni kwa ajili ya msimu wa joto, Televisheni, Blender na Majagi ya Kuchemshia maji na vifaa vingine vingi vya umeme vinavyohitajika kila siku.
Tunatoa betri zenye nguvu na vifaa vya usambazaji wa umeme ili kuhakikisha vifaa vyako vinafanya kazi bila kukwama.
Tunayo spika na vifaa vya sauti vyenye uwezo mkubwa wa kutoa burudani safi, ikiwemo bidhaa za Alitop na Sundar, zinazokupa uzoefu bora wa sauti.
Tunakuletea samani za kipekee za kioo na chuma, zilizotengenezwa kwa umaridadi ili kuongeza mvuto na hadhi kwenye nyumba au ofisi yako.