Tunatoa simu kutoka kwa watengenezaji wakubwa duniani kama vile Tecno, Infinix, Itel, Philips, na Samsung. Kila kifaa tunachouza kimehakikiwa ili...
TAZAMA BIDHAAKaribu katika ulimwengu wa ubora na teknolojia ya kisasa. Katika PILLAMAX INVESTMENT, tunaelewa umuhimu wa kuwa na vifaa vinavyorahisisha maisha yako, iwe nyumbani au ofisini. Sisi ni wauzaji wa jumla na reja reja wa vifaa mbalimbali, tukijitolea kuhakikisha kila mteja anapata bidhaa imara, halisi, na zenye viwango vya kimataifa kwa bei inayokidhi bajeti yako.
Tunatoa simu kutoka kwa watengenezaji wakubwa duniani kama vile Tecno, Infinix, Itel, Philips, na Samsung. Kila kifaa tunachouza kimehakikiwa ili...
TAZAMA BIDHAAKuanzia feni kwa ajili ya msimu wa joto, Televisheni, Blender na Majagi ya Kuchemshia maji na vifaa vingine vingi vya...
TAZAMA BIDHAATunatoa betri zenye nguvu na vifaa vya usambazaji wa umeme ili kuhakikisha vifaa vyako vinafanya kazi bila kukwama.
TAZAMA BIDHAATunayo spika na vifaa vya sauti vyenye uwezo mkubwa wa kutoa burudani safi, ikiwemo bidhaa za Alitop na Sundar, zinazokupa...
TAZAMA BIDHAATunakuletea samani za kipekee za kioo na chuma, zilizotengenezwa kwa umaridadi ili kuongeza mvuto na hadhi kwenye nyumba au ofisi...
TAZAMA BIDHAAHatufanyi mchezo na ubora. Bidhaa zetu zote ni original na zinaambatana na viwango vya juu vya utengenezaji, hivyo kukuepushia usumbufu wa matengenezo ya mara kwa mara.
Wafanyakazi wetu wapo tayari kukupa mwongozo wa kitaalamu ili uhakikishe unachagua kifaa kinacholingana na mahitaji yako mahususi.